Too Gone Too Long
Mandhari
Kwa the En Vogue song, tazama Too Gone, Too Long.
“Too Gone Too Long” | ||
---|---|---|
“Too Gone Too Long” cover | ||
Single ya Randy Travis | ||
B-side | "My House" | |
Imetolewa | Novemba 1987[1] | |
Urefu | 2:24 | |
Studio | Warner Bros. Records 28286 | |
Mtunzi | Gene Pistilli |
"Too Gone Too Long" ni kichwa cha wimbo uliotungwa na Gene Pistilli na kutayarishwa na msanii wa miondoko ya country Randy Travis. Ilikuwaw single ya tatu kutolewa kutoka kwa albamu yake Always & Forever. Iliibuka kuwa hit #1 ya tano nchini US. Ilifikia kilele katika nafasi ya kwanza katika chati za Billboard Hot Country Singles & Tracks na ile ya Canada ya RPM country Tracks.
Yaliyomo
[hariri | hariri chanzo]Wakati mpenzi wa zamani anaporudi akijuta, msimulizi anamwambia kuwa ana mpenzi mpya na kuwa yeye alikuwa ameenda kwa muda mrefu sana na hangestahili kurudi nyumbani.
Unawili katika Chati
[hariri | hariri chanzo]"Too Gone Too Long" ilishikilia nafasi ya kwanza katika juma la 12 Machi 1988 katika chati zote za Country Single.
Chati (1988) | Peak position |
---|---|
U.S. Billboard Hot Country Songs | 1 |
Canadian RPM Country Tracks | 1 |
Virejeleo
[hariri | hariri chanzo]Alitanguliwa na "Face to Face" ya Alabama ikishirikisha K.T. Oslin |
Billboard Hot Country Singles & Tracks Sinle Bora zaidi 12 Machi 1988 |
Akafuatiwa na "Life Turned Her That Way" ya Ricky Van Shelton |
RPM Country Tracks single ya kwanza 12 Machi 1988 |
Akafuatiwa na "This Missin' You Heart of Mine" ya Sawyer Brown |