Storms of Life

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Storms of Life
Storms of Life Cover
Studio album ya Randy Travis
Urefu 31:45
Lebo Warner Bros.

Storms of Life ni albamu ya mwanzo (debut) ya nyota wa Muziki wa Country Randy Travis ambayo ilitolewa mnamo 6 Juni 1986 na Warner Bros. Records Nashville. Imedhibitishwa mara tatu kuwa katika kiwango cha mauzo cha Multi-Platinum na RIAA kwa kuuza zaidi ya nakala milioni 3 . Inashirikisha mgoma za single za "On the Other Hand" (awali ikirekodiwa na Keith Whitley katika albamu yake ya1985 ya L.A. to Miami), "1982", "Diggin' up Bones", na "No Place Like Home".Ingawa "On the Other Hand" iliingia kwa chati katika nafasi ya 67 katika chati za the Hot Country Songs wakati wa toleo la kwanza, Wimbo huo ulifika #1 katika chati hizo wakati ilitolewa kwa mara ya Pili, ikifuata ile ya "1982" ambayo ilikuwa #6 kwa chati. "Diggin' up Bones" pia iliwahi kufika nambari moja, huku "No Place Like Home" ikifika nafasi ya pili.

Mpangilio wa Vibao[hariri | hariri chanzo]

  1. "On the Other Hand" (Paul Overstreet, Don Schlitz) - 3:05
  2. "The Storms of Life" (Max D. Barnes, Troy Seals) - 2:43
  3. "My Heart Cracked (But It Did Not Break)" (Ronny Scaife, Don Singleton, Phil Thomas) - 2:18
  4. "Diggin' Up Bones" (Al Gore, Overstreet, Nat Stuckey) - 2:58
  5. "No Place Like Home" (Overstreet) - 4:06
  6. "1982" (Buddy Blackmon, Vip Vipperman) - 2:58
  7. "Send My Body" (Randy Travis) - 2:59
  8. "Messin' with My Mind" (Joseph Allen, Charlie Williams) - 3:06
  9. "Reasons I Cheat" (Travis) - 4:20
  10. "There'll Always Be a Honky Tonk Somewhere" (Steve Clark, Johnny MacRae) - 3:15

utayarishaji[hariri | hariri chanzo]

Vibao vyote vilitayarishwa na Kyle Lehning, isipokuwa "On the Other Hand" na "Reasons I Cheat", zilizotayarishwa na Kyle Lehning pamoja na Keith Stegall.

Alitanguliwa na
Rockin' with the Rhythm
ya The Judds
Top Country Albums albamu ya kwanza ya mwaka
1987
Akafuatiwa na
Always & Forever
ya Randy Travis