Ziwa Winnipeg
Mandhari
| |
Mahali | 52°7′N 97°15′W / 52.117°N 97.250°W |
Nchi zinazopakana | Kanada |
Eneo la maji | km2 24,514 |
Kina cha chini | m 12 |
Mito inayoingia | mto ya Winnipeg, Saskatchewan, Red |
Mito inayotoka | mto Nelson |
Kimo cha uso wa maji juu ya UB |
m 217 |
Ziwa Winnipeg (kwa Kiingereza: Lake Winnipeg; kwa Kifaransa: Lac Winnipeg) ni ziwa kubwa katika jimbo la Manitoba, Kanada. Liko kaskazini mwa mji wa Winnipeg . Ni ziwa kubwa zaidi katika kusini ya Canada.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Winnipeg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |