Ziwa Malombe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ziwa Malombe
linavoonekana kutoka angani
Mahali Upande wa kusini
Mito ya kuingia Mto Shire kutoka Ziwa Malawi
Mito ya kutoka Mto Shire
Nchi za beseni Malawi
Eneo la maji Kilomita za mraba 450
Kina cha wastani Futi 6 - 8

Ziwa Malombe ni ziwa linalopatikana kusini mwa nchi ya Malawi [1].

Eneo la ziwa ni kilomita za mraba 450. Ziwa lina kina kifupi ambacho kinakadiriwa kuwa ni mita 1.8 hadi 2.4.

Mto Shire unapita katika ziwa Malombe.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Archived copy. Jalada kutoka ya awali juu ya 2006-09-10. Iliwekwa mnamo 2006-09-10.
Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Malombe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.