Ziwa Abaya
Jump to navigation
Jump to search
Ziwa Abaya | |
---|---|
![]() | |
![]() | |
Mito ya kuingia | Mto Bilate Mto Gidabo Mto Gelana |
Nchi za beseni | Ethiopia |
Urefu | 60 km (37 mi) |
Upana | 20 km (12 mi) |
Eneo la maji | 1,162 km2 (449 sq mi) |
Kina cha wastani | 7.1 m (23 ft) |
Kina kikubwa | 13.1 m (43 ft) |
Mjao | 8.2 km3 (2.0 cu mi) |
Kimo cha uso wa maji juu ya UB | 1,175 m (3,855 ft) |
Miji mikubwa ufukoni | Arba Minch |

Ziwa Abaya kutoka Dorze. Kulia mbali ni Arba Minch na ziwa Chamo. Katikati kuna Nechisar National Park.
Ziwa Abaya au Abaya Hayk (zamani pia Margherita) linapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia.
Ziwa linachangiwa na Mto Bilate, mto Gidabo na Mto Gelana, halafu linatokwa na mto Kulfo unaopeleka maji kwenye ziwa Chamo[1]
Eneo lake lote ni kilometa mraba 1162, urefu ni kilometa 60 na upana kilometa 20[2] with a surface area of 1162 square kilometers.[3].
Ndani yake vinapatikana visiwa kadha; kile kikubwa zaidi kinaitwa Aruro.
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Ababu Teklemariam, Bernd Wenclawia (2004). Water Quality monitoring within the Abaya-Chamo Drainage Basin. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-02-07. Iliwekwa mnamo 2018-02-06.
- ↑ Statistical Abstract of Ethiopia for 1967/68
- ↑ Baxter, R. M. Lake Morphology and Chemistry. in Taylor, W.D. and Tudorancea, C., eds. Ethiopian Rift Valley Lakes. Leiden: Backhuys Publishers, 2002.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- ILEC Archived Julai 14, 2007 at the Wayback Machine.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Abaya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |