Mto Gidabo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Gidabo ni mto unaopatikana nchini Ethiopia kusini-kati, ndani ya Bonde la Ufa.

Eneo la mto Gidabo ni moja ya maeneo yanayoongoza kwa uzalishaji wa kahawa nchini Ethiopia.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Gidabo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.