Zharnel Hughes

Zharnel Hughes (amezaliwa Julai 13, 1995)[1] ni mwanariadha kutoka Uingereza alijkita kwenye mbio za mita 100 na mita 200. Alishinda medali ya dhahabu kwenye mbio za mita 100 na 4*100 kwenye michuano ya mabingwa wa ulaya 2018, akiwakilisha Uingereza na mbio za mita 4*100 mwaka 2018 kwenye michuano ya jumuiya ya madola akiwakilisha Uingereza. [2]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Zharnel HUGHES | Profile | World Athletics. worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-12-21.
- ↑ Zharnel Hughes (en-gb). www.teamgb.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-21.