Nenda kwa yaliyomo

Zera Yakobu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ukurasa huu unamhusu Zera Yakobu, mwanafalsafa wa karne ya 17. Kuhusu mwanamfalme, tazama Zera Yakobu Amha Selassie. Kuhusu negus, tazama Zara Yaqob.

Zera Yakobu (kwa Kigeez ዘርአ:ያዕቆብ, zar'ā yāʿiqōb "Mbegu ya Yakobu", siku hizi zer'a yā'iqōb, Zärˀä Yaˁqob, Zar'a Ya'aqob, au Zar'a Ya'eqob; 15991692) alikuwa mwanafalsafa wa Ethiopia.

Kitabu chake cha mwaka 1667, Hatata, kilitokea wakati ambapo falsafa ya Kiafrika ilikuwa inategemea mapokeo iliyorithiwa kwa sauti. Kumbe yeye aliamini ni vema kwa mtu kufuata hoja za akili yake, si kufuata anachoambiwa na wengine.

  • Teodros Kiros, "Zera Yacob and Traditional Ethiopian Philosophy," in Wiredu and Abraham, eds., A Companion to African Philosophy, 2004.
  • Enno Littmann. Philosophi Abessini. Corpus Scriptorum Christianorum Orientalium, Vol. 18, Scriptores Aethiopici, Presses Républicaines, 1904. Contains the Ge'ez text of Zera Yacob's treatise.
  • Claude Sumner, Ethiopian Philosophy, vol. II: The Treatise of Zara Yaecob and Walda Hewat: Text and Authorship, Commercial Printing Press, 1976.
  • Claude Sumner, Ethiopian Philosophy, vol. III: The Treatise of Zara Yaecob and Walda Hewat: An Analysis, Commercial Printing Press, 1978.
  • Claude Sumner. Classical Ethiopian Philosophy, Commercial Printing Press, 1985. Contains an English translation of Zera Yacob's treatise and four other texts.
  • Claude Sumner, "The Light and the Shadow: Zera Yacob and Walda Heywat: Two Ethiopian Philosophers of the Seventeenth Century," in Wiredu and Abraham, eds., A Companion to African Philosophy, 2004.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zera Yakobu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.