Zacarías Bonnat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Zacarías Bonnat Michel (alizaliwa 27 Februari 1996)[1] ni mnyanyua vyuma kutoka Jamhuri ya Dominikana.

Alishinda medali ya fedha kwenye michuano ya wanaume wenye kilo 81 kwenye Michezo ya Olimpiki ya majira ya joto jijini Tokyo, Japani[2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Zacarias BONNAT MICHEL". Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-01. 
  2. IOC. "Tokyo 2020 Men's 81kg Results - Olympic weightlifting". Olympics.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-12-01.