Nenda kwa yaliyomo

Yuka Nicole Momoiki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yuka Nicole Momoiki (alizaliwa 9 Aprili 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama mshambuliaji wa timu ya taifa ya Japani pamoja na klabu ya Wanawake ya Leicester City. Yuka alizaliwa nchini Marekani.[1][2]

  1. "OL Reign Announces Additional Roster And Staff Changes", OL Reign, 14 August 2020. Retrieved on 2024-04-27. Archived from the original on 2023-11-07. 
  2. "LCFC Women Sign Japan International Yuka Momiki". www.lcfc.com. Iliwekwa mnamo 2024-01-06.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yuka Nicole Momoiki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.