Nenda kwa yaliyomo

Yudaya Nakayenze

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yudaya Nakayenze
Nchi Uganda
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa miguu


Yudaya Nakayenze (alizaliwa 26 Juni 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Uganda ambaye anacheza kama beki wa timu ya Taifa ya kandanda ya wanawake ya Uganda.[1][2] Mnamo tarehe 21 Julai 2018, alifunga bao la ushindi dakika ya 75 kwa kichwa katika timu ya Uganda walipoilaza na kuishinda timu ya taifa ya kandanda ya wanawake ya Ethiopia kwa ushindi wa 2-1.[3][4]

  1. Muyita, Joel (2022-01-25). "Nakayenze, Nambi named in Crested Cranes squad to face Kenya". Kawowo Sports (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-02-20.
  2. "AWCON Qualifiers: Nambi, Shiraz, Nakayenze return to Crested Cranes fold". Football 256 (kwa American English). 2022-01-25. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-20. Iliwekwa mnamo 2022-02-20. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. #ThrowBackThursday Yudaya Nakayenze winning goal against Ethiopia #2018CECAFAWomenChallengeCup (kwa Kiingereza), 18 Juni 2020, iliwekwa mnamo 2022-02-20{{citation}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Luyombya, Swaibu (22 Julai 2018). ""We badly needed a win and we fought for it." Yudaya Nakayenze". Swift Sports Uganda (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-21. Iliwekwa mnamo 20 Februari 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yudaya Nakayenze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.