Nenda kwa yaliyomo

Youth For Human Rights Protection And Transparency Initiative

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Youths for Human Rights Protection and Transparency Initiative (YARPTI) (YARPTI) ni shirika lisilo la kiserikali nchini Nigeria lililojitolea kukuza ustawi na ulinzi wa watoto na vijana. YARPTI pia inashughulikia na kupambana na ukiukaji wa haki za binadamu,shirika hili lilianzishwa tarehe 2 Aprili 2015. Shirika hili linapinga ukiukaji wa haki za msingi ya haki za kibinadamu.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Youths for Human Rights Protection and Transparency Initiative - Crunchbase Company Profile & Funding". Crunchbase (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-11-27.