Youcef Belaïli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mohamed Youcef Belaïli

Mohamed Youcef Belaïli (alizaliwa 14 Machi 1992) ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Algeria ambaye anacheza kama winga wa kushoto wa timu ya taifa ya Algeria..[1][2][3]

Maisha Ya Awali[hariri | hariri chanzo]

Belaïli alizaliwa tarehe 14 Machi 1992 huko Oran.[4] Eldjoumhouria.dz. Retrieved on 31 August 2013 Alianza kucheza na klabu ya RCG Oran na baadae kucheza na klabu ya MC Oran.

Ushiriki Katika Klabu[hariri | hariri chanzo]

Mwanzo Wa Mwezi Machi, Espérance de Tunis Youcef Belaïli alianza maisha yake ya soka akiwa na klabu ya RCG Oran, kisha akahamia timu ya akiba ya MC Oran, Belaïli msimu wao wa kwanza katika ligi ya Division 1 walikuwa na klabu kama CA Bordj Bou Arreridj, na mechi yao ya kwanza ilikuwa tarehe 6 Machi 2010 dhidi ya klabu ya MC El Eulma kama mchezaji bora.Baada ya msimu mmoja pekee, Belaïli alirejea klabu ya MC Oran kwa misimu miwili.

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Vijana

Belaili aliitwa na Timu Ya Algeria U23 kushiriki katika Mashindano ya UNAF ya U-23 ya 2010. Mnamo Desemba 13, 2010, alifunga bao la kibinafsi dakika ya 54 dhidi ya Cameroon U23s.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Youcef Belaïli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.