Yingluck Shinawatra
Mandhari
Yingluck Shinawatra (kwa Kithai: ยิ่งลักษณ์ ชินวัตร; amezaliwa 21 Juni 1967) ni mfanyabiashara, mwanasiasa na mwanachama wa Chama cha Pheu Thai ambaye alikuwa Waziri Mkuu wa Thailand kufuatia uchaguzi wa mwaka 2011.
Yingluck alikuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa kike wa Thailand na kijana zaidi katika muda wa miaka 60. Aliondolewa madarakani tarehe 7 Mei 2014 na uamuzi wa Mahakama ya Katiba.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yingluck Shinawatra kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |