Yassa (chakula)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
kuku Yassa

Yassa ni chakula kinachotengenezwa na pilipili kinachotayarishwa na vitunguu,haradali au limao.Asili yake ni Senegal, Yassa imekuwa maarufu kote Afrika Magharibi.  Kuku yassa (inayojulikana kama yassa au poulet), iliyotayarishwa kwa vitunguu, limau au haradali ni ya kipekee kutoka eneo la Casamance kusini mwa Senegali.[1]  Nyama nyingine zinazotumiwa kwa yassa ni kondoo na samaki.[2][3]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]