Yannick Bangala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yannick Bangala Litombo (alizaliwa 12 Aprili 1994) ni mwanasoka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Yanga.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yannick Bangala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.