Yaba Angelosi
Mandhari
Yaba Angelosi | |
---|---|
Aina ya muziki | Afropop |
Kazi yake | Mwimbaji, Mtunzi, Mtayarishaji wa muziki |
Ala | Sauti, Piano, Gitaa, Keyboards |
Studio | Assida Records |
Tovuti | https://www.facebook.com/YabaAngelosiMusic |
Yaba Angelosi ni mwimbaji, mwanamuziki wa mtayarishaji wa muziki anayeishi nchini Marekani. Alizaliwa katika Sudan Kusini akahamia pamoja na wazazi wake kwenda Marekani mwaka 2000.
Ana studio yake ya Assida Records / Assida Productions inayosambaza rekodi zake.