Wu Yantong
Mandhari
Wu Yantong (kwa Kichina: 無言通, anajulikana kama Vô Ngôn Thông huko Vietnam, 759?-826 BK) alikuwa mtawa wa Kibuddha wa China aliyechangia kwa kiasi kikubwa kueneza Ubuddha nchini Vietnam.
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Akiwa ametoka katika familia tajiri, Wu Yantong alipoingia utu uzima aliacha maisha hayo ya anasa na kuchagua maisha ya kitawa, hatimaye akafikia satori au mwanga wa kiroho.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ven. Thich Thien-An. Buddhism and Zen in Vietnam: in Relation to the Development of Buddhism in Asia. Rutland, Vermont & Tokyo: Charles E. Tuttle Company, Inc., 1975.
- ↑ Tài Thư Nguyễn The History of Buddhism in Vietnam - 2008 Page 65 "THE LIFE OF WU YAN TONG AND THE WU YAN TONG SECT In 820, about two centuries after Vinitaruci, a Chinese Buddhist monk known as Wu Yantong (Vô Ngôn Thông in Vietnamese) came to live in the Kien So pagoda located in the ..."
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wu Yantong kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |