Women Fund (Tanzania)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Women Fund Tanzania ni Asasi isiyo ya Kiserikali nchini Tanzania inayohusika na kusaidia wanawake na wanaharakati pamoja na taasisi nyingine na kuwawezesha ili wafanye shughuli mbalimbali. [1] [2]

Shirika hilo husaidia pia kuwawezesha wanawake kupaza sauti zao pamoja na kukuza uchumi, na hufanya kazi ya kutoa elimu ya afya hasa afya ya uzazi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]