Nenda kwa yaliyomo

Wizara ya Jinsia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Zambia

Wizara ya jinsia ni wizara nchini Zambia, inayoongozwa na waziri wa jinsia. Wizara hiyo nchini Zambia ilianzishwa mwaka 2012 kwa kuchanganya idara ya jinsia katika maendeleo ya ofisi ya baraza la mawaziri na idara ya maendeleo ya mtoto katika wizara ya maendeleo ya jamii, afya ya ama na mtoto.[1]