Nenda kwa yaliyomo

Wiseman Mukhobe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wiseman Mukhobe

Wiseman Mukhobe (alizaliwa 13 Oktoba 1997) ni mwanariadha wa Kenya. Alishinda medali katika Michezo ya Jumuiya ya Madola mwaka 2022 kama sehemu ya timu ya Kenya katika mbio za 4x400m, na alimaliza wa nne katika fainali ya mbio za mita 400 kuruka viunzi.[1]

  1. "Wiseman Were Mukhobe". Worldathletics.org.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wiseman Mukhobe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.