Win Myint

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Win Myint (kwa Kiburma: ဝင်းမြင့်; amezaliwa 8 Novemba 1951) ni mwanasiasa na mfungwa wa kisiasa wa zamani ambaye anafanya kazi kama Rais wa 10 wa Myanmar tangu tarehe 30 Machi 2018.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Win Myint kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.