Nenda kwa yaliyomo

William Kipkorir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William Kipkorir ni mwanasiasa wa Kenya na mwanachama wa UDA; alichaguliwa kuwakilisha kaunti ya Baringo katika seneti ya Kenya tangu uchaguzi mkuu wa 2022. Alifanikiwa kushinda dhidi ya Gideon Moi. Kipkorir ni mbunge wa zamani wa Baringo Kaskazini.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Members Of The 10th Parliament. Parliament of Kenya. Accessed June 19, 2008.