Wilhelmina Jallah
Mandhari
Wilhelmina Jallah ni mwanamke daktari na mwanasiasa kutoka Liberia. Yeye ni Waziri wa Afya nchini Liberia.
Rais George Manneh Weah alimteua Jallah kuwa Waziri wa Afya mnamo Februari 2018.[1] Mnamo Machi 2021, alizindua juhudi za chanjo ya Covid nchini Liberia, na yeye mwenyewe alipatiwa chanjo mbele ya kamera za televisheni.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Cholo Brooke. "Weah Makes Additional Appointments In Gov’t, Defeated UP Vice Presidential Candidate Appointed At LAA". Retrieved on 2024-03-29. Archived from the original on 2022-12-02.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wilhelmina Jallah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |