Wikipedia:Kiswahili Wikipedia Challenge/Submissions/Boscomutunga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

|- | starcraft || Translated from Starcraft videogame english.||1.5||Muddyb||Inabidi ukomae zaidi mwana - kwa sababu makala nyingi zinakosa kichwa cha msingi cha makala. Kila makala lazima ianze na kutaja ni kitu gani kabla ya maelezo zaidi. Pia, usisahau kuweka jamii. Jamii MBEGU peke yake haitoshi bila jamii husika.


|- | Gran Turismo (mchezo wa video) || Translated from Gran turismo videogame english.||1.5||Muddyb||Jamii na interwiki ni muhimu sana kwenye makala. Pia, nimeona tatizo la kuweka viungo vya ndani vingi bila hata maana. Tena unaweka NUKTA ndani ya mabano ([[jina la makala.]]. Haitakiwi hivyo. Inabidi uweke [[jina la makala]]. Nukta inatakiwa ikae nje ya mabano mraba!


|- | Polyphony Digital || Translated from Polyphony Digital en.||1.5||Muddyb||Makala nzuri. Lakini bado una tatizo la kutoweka INTERWIKI. JAMANI INTERWIKI.


|- | Kazunori Yamauchi || Translated from Kazunori Yamauchi en.||1.5||Muddyb||Naendelea kusisitiza juu ya matumizi na uongezi wa INTERWIKI na JAMII kwenye makala.


|- | Mwiko ||||0.1||Muddyb||Ni mwanzo mzuri wa makala.


|- | Shule ya Upili ya Maseno || Written from scratch.||1.5||Muddyb||Nakosa mwanga uboreshaji wa makala hii. Jitahidi kuipanga vyema - huku ukiweka JAMII kama Shule za Kenya.


|- | Hoteli Hilton || Translated from Hilton hotel en.||2.0||Muddyb||Hapakuwa na ulazima kuweka mijamii yote ile. Umehijitahidi sana. Nimependa kazi hii kwa sababu imetimia!


|- | Juliana Kanyomozi || Translated from Juliana Kanyomozi en.||0||Muddyb||Hupati kitu. Umepandishia makala lako juu yake. Hivyo andika umeumia. Limoke alindika kabla ya wewe. Pole!


|- | Orodha ya Waandishi katika nchi za Afrika || Translated from english.||2.0||JK||