Gran Turismo (mchezo wa video)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gran Turismo (kawaida huandikwa GT au GT1) ni mchezo wa kuendesha motoka ulioundwa na Kazunori Yamauchi. Gran Turismo ilitengenezwa na polyphony Digital na kwanza ilichapishwa na Sony Computer Entertainment mwaka 1997 kwa PlayStation video. Awali mchezo huu uliuzwa katika Ujapani tu lakini umaarufu wa mchezo umesababisha kuundwa kwa toleo la Marekani na kisha toleo la Ulaya ambao inauzwa katika nchi nyingine.

Jinsi inavyochezwa[hariri | hariri chanzo]

Gran Turismo Kimsingi kuzingatia uendeshaji wa magari/udereva. Mchezaji huendesha motokaa kushindana dhidi ya madereva wengine katika barabara mbalimbali za mashindano.

Gran Turismo ina magari 178 na barabara 11.

Mapokezi[hariri | hariri chanzo]

Mchezo huu ulisifiwa na wakosoaji wakiwemo IGN (9.5/10), Gamespot(8.6/10) na gazeti rasmi la Playstation (5 / 5). Kufikia 30 Aprili 2008, mcezo huu umeuza kopi milioni 2.55 katika Ujapani, 10000 katika Asia ya Kusini, milioni 4.3 katika Ulaya, na milioni 3.99 Amerika ya Kaskazini kwa jumla ya kopi milioni 10.85.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Gran Turismo (mchezo wa video) kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.