Wendell Stanley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wendell Meredith Stanley)
Wendell Stanley

Wendell Meredith Stanley (16 Agosti 190415 Juni 1971) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza kugandisha virusi kama fuwele. Mwaka wa 1946, pamoja na James Sumner na John Howard Northrop alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wendell Stanley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.