John Howard Northrop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Howard Northrop

John Howard Northrop (5 Julai 189127 Mei 1987) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mbinu za uchachushaji pamoja na vimeng'enya. Mwaka wa 1946, pamoja na James Sumner na Wendell Stanley alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Howard Northrop kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.