Nenda kwa yaliyomo

Wanawake na Wanaume Viziwi Kimataifa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wanawake na Wanaume Viziwi kimataifa (MMDI) ni shindano la kimataifa la urembo linalowatawaza wanawake vijana viziwi kuwa "Wanawake viziwi kimataifa" na vijana wa kiume viziwi kuwa "Wanaume viziwi kimataifa" kila mwaka.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

MMDI ni shirika lisilo la faida ambalo liliundwa mnamo Februari 2010,[1] Afisa mkuu mtendaji wa shindano hilo ni Bonita Ann Leek [2][3] na lugha katika shindano hilo ni lugha ya ishara ya Kimataifa.[4]

  1. "Miss Deaf International in Las Vegas, Nevada", Nonprofitfacts.com/NV/Miss-Deaf-International, Retrieved September 9, 2019.
  2. "Bonita Ann Leek". FNL Network. Iliwekwa mnamo 2019-09-09.
  3. "Bonita Leek". IMDb. 2012. Iliwekwa mnamo 2019-09-09.
  4. "Ms Deaf International MMDI Taiwan 2018". Google. Iliwekwa mnamo 2019-09-11.