Nenda kwa yaliyomo

Wamersedari wafiadini wa mwaka 1393

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wamersedari Wafiadini wa mwaka 1393 walikuwa watawa wa shirika la Wamersedari ambao, kadiri ya karama yao, walielekea Afrika ili kukomboa watumwa wa Waislamu, lakini walikamatwa na kuteswa na hatimaye walifia dini yao.

Wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 15 Aprili.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.