Wadi Fira (mkoa)
Mandhari
Wadi Fira (Kiarabu: وادي فيرا) ni mmoja wa mikoa 23 ya Chad. Mji wake mkuu ni Biltine. Mkoa huu unahusiana na wilaya ya Biltine ya zamani.

Mkoa huo unapakana na Mkoa wa Borkou, Mkoa wa Ennedi-Ouest na Mkoa wa Ennedi-Est kaskazini, Sudani mashariki, Mkoa wa Ouaddaï kusini, na Mkoa wa Batha magharibi. Mandhari yake ni savana inayoungana na Jangwa la Sahara kaskazini, na inapanda kuelekea mashariki.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]
![]() |