Vorarlberg
Mandhari
Vorarlberg ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 372,791 kwenye eneo la km² 2,601.
Mji mkuu ni Bregenz. Waziri mkuu ni Herbert Sausgruber (ÖVP).
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Vorarlberg imepakana na Ujerumani na majimbo ya Tirol.
Miji mikubwa ni pamoja na Dornbirn na Bregenz.
Picha za Vorarlberg
[hariri | hariri chanzo]Tovuti za Nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Austria Chini (Niederösterreich) • Austria Juu (Oberösterreich) • Burgenland • Karinthia (Kärnten) • Salzburg • Steiermark • Tirol • Vienna (Wien) • Vorarlberg |
Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Vorarlberg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |