Salzburg (jimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mahali pa Salzburg katika Austria
bendera ya Salzburg

Salzburg (au Salzburgerland, (Kijerumani)) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 530.488 kwenye eneo la 7.154 km². Mji mkuu ni Salzburg. Waziri mkuu ni Wilfried Haslauer (ÖVP).

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Jimbo la Salzburg imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Austria Juu, Steiermark, Karinthia na Tirol.

Miji mikubwa ni pamoja na Salzburg na Hallein.

Salzach na Inn ni mito muhimu zaidi.

Picha za Salzburg[hariri | hariri chanzo]

Tovuti za Nje[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Austria.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Salzburg (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Majimbo ya Austria
Flag of Austria.svg
Austria Chini (Niederösterreich)Austria Juu (Oberösterreich)BurgenlandKarinthia (Kärnten)SalzburgSteiermarkTirolVienna (Wien)Vorarlberg