Vorarlberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sehemu ya Jimbo la Vorarlberg
Mahali pa Vorarlberg katika Austria
bendera ya Vorarlberg

Vorarlberg ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 372,791 kwenye eneo la 2,601 km². Mji mkuu ni Bregenz. Waziri mkuu ni Herbert Sausgruber (ÖVP).

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Vorarlberg imepakana ya Ujerumani na majimbo ya Tirol.

Miji mikubwa ni pamoja na Dornbirn na Bregenz.

Picha za Vorarlberg[hariri | hariri chanzo]

Tovuti za Nje[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Austria.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Vorarlberg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Majimbo ya Austria
Flag of Austria.svg
Austria Chini (Niederösterreich)Austria Juu (Oberösterreich)BurgenlandKarinthia (Kärnten)SalzburgSteiermarkTirolVienna (Wien)Vorarlberg