Nenda kwa yaliyomo

Vorapaxar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vorapaxar
Jina la Utaratibu la (IUPAC)
Ethyl N-[(3R,3aS,4S,4aR,7R,8aR,9aR)-4-[(E)-2-[5-(3-fluorophenyl)-2-pyridyl]vinyl]-3-methyl-1-oxo-3a,4,4a,5,6,7,8,8a,9,9a-decahydro-3H-benzo[f]isobenzofuran-7-yl]carbamate
Data ya kikliniki
Majina ya kibiashara Zontivity
Taarifa za leseni EMA:[[[:Kigezo:EMA-EPAR]] Link]
Kategoria ya ujauzito B(US)
Hali ya kisheria ? (US)
Njia mbalimbali za matumizi Kwa mdomo
Data ya utendakazi
Uingiaji katika mzunguko wa mwili ~100%[1]
Kufunga kwa protini ≥99%
Kimetaboliki Ini (CYP3A4 na CYP2J2)
Nusu uhai Siku 5–13
Utoaji wa uchafu Kinyesi (58%), mkojo (25%)
Vitambulisho
Nambari ya ATC ?
Visawe SCH-530348
Data ya kikemikali
Fomyula C29H33FN2O4 
Data ya kimwili
Kiwango cha kuyeyuka 278 °C (532 °F)
 N(hii ni nini?)  (thibitisha)

Vorapaxar, inayouzwa kwa jina la chapa Zontivity, ni dawa inayotumika kupunguza hatari ya mshtuko wa moyo na kiharusi kwa wale walio na ugumu wa mishipa ya damu (atherosclerosis).[2] Faida zake za jumla; hata hivyo, bado hazikuwa zikijulikana wazi kufikia mwaka wa 2021. Dawa hii inachukuliwa kwa mdomo.

Madhara yake ya kawaida ni pamoja na kutokwa na damu, ambayo inaweza kujumuisha kutokwa na damu ndani ya kichwa. [3] Ni kipokezi cha thrombin (kipokezi kilichoamilishwa na protease, PAR-1) kulingana na bidhaa asilia ya himbacine.[4] Dawa hii inafanya kazi kwa kuzuia mkusanyiko wa chembe ya damu ya pletleti.

Vorapaxar iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani mwaka wa 2014.[5] Ingawa iliidhinishwa kutumika Ulaya mwaka wa 2015, idhini hii iliondolewa mwaka wa 2017.[6][7] Nchini Marekani iligharimu takriban dola 370 kwa mwezi kufikia mwaka wa 2021.[8]

  1. "ZONTIVITY™ (vorapaxar) Tablets 2.08 mg, for oral use. Full Prescribing Information" (PDF). Merck & Co., Inc. Initial U.S. Approval: 05/2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka (PDF) kutoka chanzo mnamo 17 Juni 2014. Iliwekwa mnamo 17 Juni 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Vorapaxar Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Januari 2021. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Vorapaxar Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Januari 2021. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)"Vorapaxar Monograph for Professionals". Drugs.com. Archived from the original on 24 January 2021. Retrieved 16 September 2021.
  4. Chackalamannil, S; Wang, Y; Greenlee, WJ; Hu, Z; Xia, Y; Ahn, HS; Boykow, G; Hsieh, Y; Palamanda, J (12 Juni 2008). "Discovery of a novel, orally active himbacine-based thrombin receptor antagonist (SCH 530348) with potent antiplatelet activity". Journal of medicinal chemistry. 51 (11): 3061–4. doi:10.1021/jm800180e. PMID 18447380.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Vorapaxar Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Januari 2021. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)"Vorapaxar Monograph for Professionals". Drugs.com. Archived from the original on 24 January 2021. Retrieved 16 September 2021.
  6. "Zontivity". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Novemba 2020. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "Zontivity Withdrawal of the marketing authorisation in the European Union" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 3 Juni 2019. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. "Zontivity Prices, Coupons & Savings Tips - GoodRx". GoodRx. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 Agosti 2016. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)