Nenda kwa yaliyomo

Voodoo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

jina la kiungo

Mchoro wa Papa Legba, tokeo la mungu linaloeleweka kwa binadamu.
Vifaa vya ibada ya Vudu huko Port-au-Prince, Haiti.
Ibada ya Vudu huko Jacmel, Haiti.

Voodoo au Vudu ni dini ya jadi yenye asili Afrika magharibi.

Kutoka huko watumwa walihama nayo hadi Amerika ya Kilatini, ilipochanganyikana na Ukristo wa Kanisa Katoliki.

Leo wafuasi wake wanaweza wakafikia idadi ya milioni 60, ikiwa dini rasmi ya Benin na Haiti.

Jina linatokana na neno lenye asili ya Kiafrika vodu, linalommanisha "roho", "mungu", au "ishara ya dhati".

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]