Vizazi vitatu vya haki za binadamu
Mandhari
Mgawanyo wa haki za binadamu katika vizazi vitatu ulipendekezwa hapo awali mnamo mwaka 1979 na mwanasheria wa Ucheki Karel Vasak katika taasisi ya kimataifa ya haki za binadamu huko Strasbourg.
Alitumia neno hilo mnamo Movemba 1977.[1]
Nadharia za Vasak kimsingi zimekita mizizi katika sheria za Uropa.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Vašák, Karel. "A 30-year struggle; the sustained efforts to give force of law to the Universal Declaration of Human Rights". UNESDOC. Iliwekwa mnamo 2021-09-20.
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vizazi vitatu vya haki za binadamu kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |