Viwanja vya Mnazi Mmoja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Viwanja vya Mnazi Mmoja ni maeneo yaliyopo katika mji wa Dar es Salaam. Ni viwanja vinavyokumbusha uhuru wa Tanganyika tarehe 9 Desemba 1961 na muungano mwaka mmoja baadaye. Eneo la mnazi mmoja lina historia kubwa sana ya nchi. Kama mkutano wa kwanza wa TANU wa mwaka 1954 ulifanyikia hapo, Mwenge wa Uhuru, kutangazwa kwa Azimio la Arusha na raisi wa kwanza wa Tanganyika Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.