Nenda kwa yaliyomo

Viwanda vya Dangote Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Viwanda vya Dangote Tanzania ni kampuni ya saruji ya Kitanzania.[1] Saruji ya Dangote inafanya kazi katika eneo la 3.0 Mta huko Mtwara, Kusini mwa Tanzania. na ndicho kiwanda kikubwa zaidi cha saruji nchini. [2]

Pia kampuni imeomba kituo cha umeme wa makaa ya mawe 75MW,karibu na kiwanda kutoa umeme wa uhakika kwa kiwanda na jamii iliyopo karibu.[3]

Kampuni hiyo inazalisha saruji tu na ina bidhaa zifuatazo kwenye mifuko ya kawaida ya kilo 50: [4] Saruji ya Portland 32.5R Saruji ya Portland ya 42.5R

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-04-02. Iliwekwa mnamo 2021-08-19.
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-04-02. Iliwekwa mnamo 2021-08-19.
  3. "Nigeria's Dangote Cement to start production in Tanzania in August", 2015-05-04. 
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-09-29. Iliwekwa mnamo 2021-08-19.