Mlangobahari wa Vitiaz
Mandhari
(Elekezwa kutoka Vitiaz Strait)
Mlangobahari wa Vitiaz (kwa Kiingereza: Vitiaz Strait) ni sehemu nyembamba ya bahari iliyopo kati ya Niu Briten (New Britain) na Papua Guinea Mpya. [1] [2]
Jina linakumbusha jahazi la Kirusi "Vitiaz" lililopita huko mnamo mwaka 1870/1871.[3]
Vidokezo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ George R. Cresswell 2000 'Coastal currents of northern Papua New Guinea, and the Sepik River outflow' Marine Freshwater Research 51 pp 553–64 at p 553
- ↑ Walter Zenk, Gerold Siedler, Akio Ishida, Jürgen Holfort, Yuji Kashino, Yoshifumi Kuroda, Toru Miyama, Thomas J. Müller 2005 'Pathways and variability of the Antarctic Intermediate Water in the western equatorial Pacific Ocean' Progress in Oceanography 67 pp 245–281 at p 247, see map at Fig.2(a) p 248
- ↑ R. W. de M.-Maclay, 'Mikluho-Maklai, Nicholai Nicholaievich (1846 - 1888)', "Australian Dictionary of Biography"