Niu Briten

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Niu Briten, miji na milima.
Rabaul na volikano Tavurvur.

Niu Briten (kwa Kiingereza: New Britain) ni kisiwa kikubwa kabisa katika Funguvisiwa la Bismarck la Papua Guinea Mpya.

Mlangobahari wa Vitiaz unatenganisha kisiwa hicho na Guinea Mpya yenyewe.

Eneo la kisiwa ni mnamo km2 36,520 inayolingana na ukubwa wa Taiwan.

Kuna wakazi 513,926. Miji mikubwa zaidi ya Niu Briten ni Rabaul / Kokopo na Kimbe.

Niu Briten ni umbo la jina lake kwa lugha ya Tok Pisin.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.