Nenda kwa yaliyomo

Vita vya Wakamba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vita vya Wakamba ni jina lililotumiwa na wanahistoria kumaanisha migogoro iliyotokea mwanzoni mwa karne ya 19 kati ya Wakamba na wakazi wa mikoa inayokaribiana na Bagamoyo ya sasa, Tanzania. [1]

Imeelezwa kwamba uvamizi wa Wakamba ililazimisha wakazi wanaoishi maeneo hayo kuungana kumpiga adui wao mmoja na muungano huo ulisababisha uundaji wa kabila la Wazaramo wanaojulikana kuwa ndio kabila kubwa kwenye maeneo yanayozunguka mkoa wa Dar es Salaam.

  1. read.dukeupress.edu. doi:10.1215/00141801-1536912 https://read.dukeupress.edu/ethnohistory/article/59/2/353/9071/The-Kamba-War-Foundation-Narratives-Ethnogenesis. Iliwekwa mnamo 2023-05-14. {{cite web}}: Missing or empty |title= (help)