Visiwa vya Ugingo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Visiwa vya Ugingo ni kati ya visiwa cha kaunti ya Homa Bay, magharibi mwa Kenya.

Vinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]