Visiwa vya Ssese

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Visiwa vya Ssese ni kati ya visiwa vya Uganda kusini (Mkoa wa Kati).

Funguvisiwa hilo lina visiwa 84 ambavyo vyote pamoja vinaunda Wilaya ya Kalangala, ambayo haienei barani.

Linapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]