Visiwa vya Mogare

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Visiwa vya Mogare ni kati ya visiwa cha kaunti ya Siaya, magharibi mwa Kenya.

Vinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]