Visiwa vya Daraja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Visiwa vya Daraja (kwa Kiingereza: Bridge Islands) ni kati ya visiwa cha kaunti ya Homa Bay, magharibi mwa Kenya.

Vinapatikana katika ziwa Nyanza, la pili duniani kwa ukubwa.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]