Visiwa vya Cocos (Keeling)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kituo cha ndege cha kisiwa cha Cocos+
Ramani ya Visiwa vya Keeling (Cocos)
Mahali pa Visiwa vya Keeling (Cocos)

Visiwa vya Cocos (Keeling) ni eneo la ng'ambo la Australia katika Bahari Hindi. Eneo lao ni atolli mbili katikati ya Australia na Sri Lanka, takriban 3685 km upande wa magharibi ya Durban (Australia) na 1,300 km upande wa kusini ya Singapur. Anwani ya kijiografia ni 12°07′S, 96°54′E.

Eneo lote la nchi kavu ni 14.4 km² na idadi ya wakazi takriban watu 700.