Nenda kwa yaliyomo

Vincent Uhega

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vincent Lamwaka Uhega (alizaliwa mkoa wa Dar es Salaam, 8 Agosti 1988) ni mwanzilishi wa asasi isiyo ya kiserikali ya Voice Of Youth Tanzania yenye makao yake makuu katika eneo la Usa River, wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha.

Ni balozi wa asasi maarufu ya Oya opportunity inayoshughulika na masuala ya fursa mbalimbali duniani [1]