Vincent Janssen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vincent Janssen
Vincent Janssen

Vincent Petrus Anna Sebastiaan Janssen (aliyezaliwa Juni 15, 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Uholanzi ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Tottenham Hotspurs na timu ya taifa ya Uholanzi.

Alipewa tuzo ya 2016 Johan Cruyff Trophy, tuzo ya Uholanzi ya "Talent of the year".

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vincent Janssen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.