Viktor Fischer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Viktor Fischer

Viktor Gorridsen Fischer (alizaliwa 9 Juni 1994) ni mchezaji wa soka wa Denmark ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji au winga wa klabu ya Kidenmark Copenhagen na timu ya taifa ya Denmark.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viktor Fischer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.